October 06, 2010

Rihana Akiri Mahusiano Ya Mbali Ni Ngumu:


Baada ya muda mrefu kupita tangu kuachana na Criss Brown,Rihana ameamua kufunguka na kuwerka mambo wazi kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi kwa sasa. Rihana ameamua kuweka wazi ni kweli tangu kuachana na Criss Brown
amejikuta akizama katika penzi la Mchizi anaecheza mpira wa magongo Matt Kemp lakini akakiri kuwa umbali baina yao ndio unaokwamisha mahusiano yao

 'Ni kweli nimempenda jamaa lakini majukumu yetu ya kikazi yanatufanya tuwe na ratiba ngumu sana za kukutana ingawa tumekuwa katika hali kama hii ya kimalovee kwa kipindi cha miezi mitatu tun sasa lakini nakiri kuwa najisikia furaha sana mingawa kwa sasa hakuna mpango wa harusi kwa sasa mambo bado

The 22-year-old pop star also revealed she finds her huge fame 'surreal', particularly when she is at the same events as her childhood idols.

Akipig a Stori katika  BBC Radio 1Xtra: Rihana amesema kwa muda mrefu amekuwa akijifunza kila hatua kutoka kwa akina Maria Carrey na Beyonce ambao kila wanapotembea kwendfa kuchuku huwa anawatazama kwa upekee sana

No comments:

Post a Comment