May 31, 2011

K-BAZIL KUZINDUA ALBUM YAKE YA GOSPEL...!


KASHUMBA BAZIL AKA K-BAZIL
Msanii wa Bongo Flava aliyetamba sana na track iliyojulikana kwa jina la Riziki,featuring Stara Thomas na Bizman ,Kashumba Basil aka K-Bazil anatarajiwa kuzindua album yake ya kwanza ya Gospel aka Injili

GNL ZAMBA...NAYE AFUNGUA BAR UGANDA...!

GNL-ZAMBA

Baada ya Msanii Faysal Seguya aka Rabadaba toka Uganda kufungua Bar iitwayo DabaBara Bar pande za Kampala Road naye Hip-Hop Artist toka Uganda Ernest Nsimbi Zamba aka GNL Zamba naye amefungua Bar yake

AY....LIL ROMEO TAYARI...SOULJA BOY NEXT..!

AMBWENE YESSAYAH AKA AY

Ambwene Yessayah aka AY aka Mzee wa Commercial amekwenda next level zaidi baada ya kufanya collabo mkali kutoka marekani,Percy Romeo Miller JR. aka Lil Romeo na D'anna Stewart,ngoma iitwayo Speak with your Body

Sean Kingston Apata Nafuu Baada Ya Ajali Ya Boti Baharini.


Hali ya Artist Sean Kingston inaendelea poa kwenye hospitali aliyolazwa Jackson Ryder Trauma Center mjini Miami,baada ya kupata ajali wakati akiendesha pikipiki za kwenye maji aka jetski na kugonga daraja

Pacha Wa P Square Aporwa Na Majambazi!!!


PAUL OKOYE - P SQUARE
Mmoja wa pacha wanaounda kundi la P-Square,Paul Okoye alionja joto ya jiwe baada ya kuvamiwa na majambazi alipokuwa njiani kuelekea Victoria Island kucheki washikaji zake Paul alikuwa

Nas Escobar Atangaza Ujio Wa Albam Mpyaaa!!!!!!!


New York rap star Nasir bin Olu Dara Jones aka Nas ametangaza ujio wake wa new upcoming solo album Nas alitupia kwenye Twitter account yake na kulifungua jina la album hiyo mpya itakayoitwa Life is Good

May 30, 2011

Baada Ya Kimya Kingi Sasa Im Back On Track Pipoz

NIMEKUWA KIMYA SANA NA HII ILISABABISHWA NA KUBANWA NA MAJUKUMU FLANI FLANI , BUT NOW NIKO SAWA NA NARUDI KAZINI WAZEIYAAAAAAAAAAA!!!!!!