May 31, 2011

Sean Kingston Apata Nafuu Baada Ya Ajali Ya Boti Baharini.


Hali ya Artist Sean Kingston inaendelea poa kwenye hospitali aliyolazwa Jackson Ryder Trauma Center mjini Miami,baada ya kupata ajali wakati akiendesha pikipiki za kwenye maji aka jetski na kugonga daraja
linalounganisha Palm Island na MacAuthor Causeway na kwa sasa ametoka chumba cha wagonjwa mahututi aka ICU Wote Sean Kingston na abiria mwanamke aliyekua naye wanaendelea vizuri na Polisi wanaendelea na uchunguzi wa ajali hiyo na kama itahusishwa na unyaji wa pombe uliosababisha uzembe wa ajali hiyo,basi Sena Kingston atakua matatani...!

No comments:

Post a Comment