February 27, 2012

Linah Kuondoka Bongo March 2012!


Baada ya kuukubali mwaliko wa kwenda kuimba kwenye stage moja na Usher Raymond Marekani, alafu akaukubali tena mwaliko wa mama laura bush kwenda na kurudi marekani kwa mara ya pili, mwimbaji Linah Sanga ameukubali mwaliko wa tatu wa kurudi tena marekani kwa ajili ya showz.

Tamko Rasmi La Vinega Juu Makubaliano Yaliyofikiwa


 Tarehe 23 ya mwezi February, 2012 mida ya saa 1 usiku mpaka saa 5 na nusu usiku katika eneo la Mwenge Vinega wa anti virus tulikutana katika kufanya tathmini na kujadli maridhiano ya kumaliza ugomvi wa kimaslahi kati ya Kundi la Vinega na Redio Clouds pamoja na Bwana Rugemalila Mutahaba,katika kikao hicho tuliridhiana kutoa tamko hili kwa umma wote wa watanzania na wapenda maendeleo wote wa sanaa yetu.

Wananchi Kulipia Gharama Za Televisheni Sasa

 
Serikali imetangaza rasmi kuwa Juni mwaka huu itazima mitambo yake ya mawasiliano inayowezesha matangazo ya Analojia na badala yake matangazo yote yatarushwa katika mtindo wa digitali. 

Diamond Platinums Kuoa Baada Ya Kili Music Awards



MWANAMUZIKI ‘sharobaro’, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ameianika dhamira yake ya kutaka kuoa ndani ya siku chache zijazo huku akidai tukio hilo litafanyika usiku.

Joh Makini Ataja Nyimbo Mpya Atakazo Achia Baada Ya “Bye Bye”


Baada ya single ya bye bye kufanya poa toka aiachie miezi saba iliyopita, mwamba wa kaskazini rapper Joh Makini ametangaza exclusive kwenye millardayo.com kwamba sasa imefika time ya kuachia hit nyingine.