November 25, 2011

Mariah Yeater Ahojiwa kuhusu Jinsi Ilivyokuwa Wakati Akipewa Ujauzito Na Justin Bieber

Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mariah Yeater aliyeibuka na kudai kwamba amezaa na Justin Bieber hivi karibuni amefanyiwa mahojiano na The Insider na kueleza jinsi ilivyokuwa wakati akikutana na Justin.

Kikwete: Nimefanya kama Nyerere, Mwinyi na Mkapa

Asema hajavunja Katiba wala sheria mchakato katiba mpya    
Hakuna jinsi ya kumkwepa Rais kuwa sehemu ya mchakato    
Ahaidi anakusudia kuusaini muswada huo mapema sana

20 Percent abambwa na GANJA!

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, limemsweka nyuma ya nondo na kumfikisha kwa pilato (Mahakamani) msaani wa Bongo fleva, Abbas Hamisi Kisanza au kwa jina la kisanii 20%, kwa tuhuma za kupatikana na bangi.

Albam Mpya Ya Drake ‘Take Care’ Yatabiriwa Kufanya Mapinduzi Kimauzo Wiki Hii.

Mashabiki wa rapa Drake wameonesha uzalendo wa kuikubali albam yake. Albam ya Take Care ni ya pili kutoka kwa The Young Money star’ imeanza kuonesha dalili za kufanya vizuri  kwa wiki ya kwanza baada ya kuingia sokoni Nov 15.

New Music: Busta Rhymes f/ Chris Brown – ‘Why Stop Now’


Busta Rhymes amespit fire ndani ya brand new single yake “Why Stop Now” aliyoifanya na Chris Brown,

November 21, 2011

The King Is Baccccccccccccccckkkk!!!!!!!!!!!!

Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Zaidi Ya Miezi Minne (4), Sasa Mtu Mzima Kazini Kama Zamaniiiiiiiiii!!!!!!!. Ukimya Wangu Ulisababishwa Na Mengi Ikiwemo Kuweka Mambo Ya Familia Na Maisha Katika Mstari, Na Sasa Kila Kitu Kitu Kitakua Poa Kila Siku Utapata Story Mpya Na Kila Kitu Kuhusu Maisha Ya Watu Maarufu Kutoka Nzima.

Stay Tuned Hapa Hapa!!!!!!!!!

Nyeusi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

King David "tHE mATSER oF cRAZY sHOwzzzzzzzz"