November 25, 2011

New Music: Busta Rhymes f/ Chris Brown – ‘Why Stop Now’


Busta Rhymes amespit fire ndani ya brand new single yake “Why Stop Now” aliyoifanya na Chris Brown, single hiyo ambayo iko katika mahadhi ya club banger iko produced na Sham “Sak Pase” Joseph.

Mchezesha ulimi huyo na MC pia amefanikiwa kufanya mapinduzi makubwa katika game baada ya kusaini mkataba na lebel ya YMCMB na kuisambaza single yake hiyo bure kupitia Google Music.

No comments:

Post a Comment