February 27, 2012

Wananchi Kulipia Gharama Za Televisheni Sasa

 
Serikali imetangaza rasmi kuwa Juni mwaka huu itazima mitambo yake ya mawasiliano inayowezesha matangazo ya Analojia na badala yake matangazo yote yatarushwa katika mtindo wa digitali. 


Mabadiliko haya yanapelekea kuuzwa kwa matangazo ya televisheni kwani mwananchi atatakiwa kununua king'amuzi ili aweze kupata matangazo.

Utaratibu huu pia umevifanya vituo vya televisheni kutafuta sehemu za kurushia matangazo yao kupitia mfumo wa digitali. Kwasasa serikali imetoa leseni kwa makampuni matatu ambayo ndio yenye haki ya kurusha matangazo kwasasa. Vituo vya televisheni vinahitaji kujiunga na makampuni hayo yanayoongozwa na Star Media
:

No comments:

Post a Comment