October 04, 2010

Dogo Ditto Aachia Jiwe Jipyaaaaa:

Msanii wa kizazi kipya Lameck Ditto aliyewahi kutamba na nyimbo yake ya Dunia ina Mambo ambyo alimshirikisha mfalme wa mashahiri Afande Sele. Ametoa nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la WAPO
baada ya kupotea kwa kitambo kirefu kwenye sanaa ya muziki. 
Ditto amewaambia mashabiki wake kupotea kwake haikuwa bure kwani alikua akijipanga upya na kuona atarudi vipi kwenye game ya muziki.
Sikiliza nyimbo ya Ditto Kwenye Playlist yetu

No comments:

Post a Comment