October 07, 2010

Justin Bieber Sasa Ahitaji Mchumba!

Taarifa za Justin Bieber zinazomuhusisha na mahusiano na mwana dada aliepiga nae video ya Baby zikiwa bado mbichi dogo amedinbuka tena na kusema kuwa anataka kumtuymia mchizi wake mmoja hivi anaitwa Robert kwa ajili ya kumtongozea mademu

Kupitia Titwa Akaunt yake Justin Biba amesema kuwa masexy Girl wengi wa Uingereza wamekuwa wakionesha kuvutiwa na Nywele za Robert Pattinson kitu ambacho anaamini kuwa akitoka na mchizi huyo katika Club za Usiku itamsaidia kuwapata kirahisi madada wa London

Justin anasema tangu walipokuwa pamoja Jijini Los Angeles na Robert walionekana kuwavutia zaidi huku Robert akifanikiwa kumuopoa mwanadada mkali wa pop Kristen Sterwat kwa hiyo kwa sasa wakiwa jijini London hiyo haiwezi kuwa kazi ngumu kwake

Akipiga Stori zaidi na gazeti la Daily Mail la leo asubuhi Justin amesema kwa sasa anajiandaa kwa ajili ya kuingia mkataba na Televisheni ya MTV kwa ajili ya kuhost show ya 'Punk'd'.ambayo hapo awali ilikuwa ikisimamiwa na Ashton Kutcher alieamua kujiondoa mwaka 2007 lakini kwa sasa atabakia kama mtayarishaji wa Show hiyo ya TV

No comments:

Post a Comment