October 06, 2010

Lady Gaga Kupiga Show Kwa Pamoja Na Yono Ono Band:

Sterfano Germanota a.k.a Lady Gaga amekubali kupigfa kwa pmaoja na Yoko Ono  jumamosi wiki ikiwa ni kama sehemu ya kumbukumbu za heshima za katika sherehe za miaka 70 za kuzaliwa
za mkongwe John Lennon

Katika show hio pia itawajumuisha member wa kundi la Sonie Youth akiwemo Yoko pamoja na Mwanae Sean ambao wote kwa pamoja watapiga show za saa tatu

No comments:

Post a Comment