October 07, 2010

Lil Wayne Ahamishiwa Jela Ya Peke Yake:

 
Weezy Lil Wayne amewataka mashabiki kuacha kumtumia barua na meseji mbalimbali kwa sasa kwani meseji hizo amejikuta zikizifikia kumtia matatani huko jela aliko, Weezy amekuwa akipokea maelfu na mamia ya meseji kwa siku kitu kinachomalzimu kuzijibu mwisho wa siku anajikuta zinaidi kumletea matatizo na huenda ikamfanya kuendelea kusota huko jela

Info Zaidi kutoka kwa gereza alilofungwa Lil Wayne ni kuwa kwa sasa jamaa ameamishiwa katika sehemu yake ya peke yake na kumfanya kutengwa na wenzake kutokana na kukutwa na Vitu visivyonhitajika kuwepo jela

Weezy juzi alikutwa akiwa na Chaja, na Headphone kitu ambacho kiliwafanya wakuu wa Gerezani kumuamishia katika eneo la peke yake kwa madai ya kwamba jamaa amekuwa ni mtukutu mno

Kupitia Akaunti yake ya Twitter Weezy amesema kwa sasa hatoweza kujibu tena meseji hizo labda mafans mwake waendelee kumsubiri, Kama ishu ya umiliki wa madude makali non stop ya mkali huyu yenye utata na maproduza wake isiponuka vibaya, Lil Wayne anatarajiwa kuwa huru November 4. mwaka huu.

No comments:

Post a Comment