October 06, 2010

Lil' Kim Kuzindua Lebo Yake Ya Mavazi:

Mwanadada aliefanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwenye game Lil Kim ameamua kuingia katika njia nyingine ya kujitafutia kipato kwa kutangaza lebo yake mpya ya nguo. Kutoka mwanamitindo hadi mbunifu Lil Kim
amesema kuwa kuanzia mwakani Lebo yake hio itaanza kufanya kazi rasmi ya kubuni mitindo mbalimbali ya nguo pamoja na kujitangaza kwa msanii kutoka Brooklyn

Info kutoka katika mtandao wa Rap-Up.com ni kuwa Lil Kim a.k.a MAFIA Jr ametangaza kuwa LEBO hiyo mpya itakyoanza kazi mwakani itaitwa "24/7 Star: The Goddess Collection."

No comments:

Post a Comment