October 06, 2010

Mario Kuwa Mlinzi Wa Mama Yake:

Mario ameamua kufunguka na kulazimika kujisafisha kutoakana na Taarifa za wiki hii zilizoelezea juu ya unyanyasaji na udhaliulishaji aliomfanyia mama yake mzazi. Mario amefunguka na kusema yalikuwa ni
makosa yote alioyafanya alkini kiukweli anampenda mama yake kwa sasa

"Kiukweli nampenda sana mama yangu ," Ameongeza Mario wakati akiuambia mtandao wa tells Us Weekly, na kuongeza kuwa mwanzoni mwa hali hio hakuruhusiwa kuelezea kitu chochote

Kutokana na hali Mario kwa sasa amelazimika kupokea Taarifa kutoka Polisi inayomtaka kuhakikisha mama yake huyom anakuwa chini ya uangalizi wake huku akitakiwa kumtazama kwa ukaribu zaidi

No comments:

Post a Comment