September 24, 2010

P Funk Azungumzia Ugomvi Wake Na Afande Selle!!!

P-Funk aka Majani ameizungumzia issue yake na Afande (Live kwenye Powerjamz Show - East Africa Radio) na kusema kuwa ni kweli Afande Sele alikua ana ngoma kwake lakini alikua hajamalizia kuilipia na jana ndio alikuja ghafla
 tena usiku na kuilipia but Afande alikua anaitaka fasta ili akai-release kwenye radio ila Majani alikua ana ratiba zake nyingine....So alikua hajambonji almost wiki nzima na alikua amekunywa dawa na kupumzika kidogo na ndipo Afande alipotinga na kutaka track yake ili akaiachie kwenye show. 
Kwa mujibu wa P-Funk sababu ya kumpiga "tena kibao tu" Afande ni kuwa alipotoka nje alimkuta Simba Dume akila "Cha Arusha" nje ya geti lake...na Majani ametamka kuwa hana noma wakae pamoja then wayamalize wala si lazima yafike "kwa kova"! KINACHOONEKANA HAPA NI KUWA HAKUNA BEEF,BALI NI LUGHA GONGANA TU BAINA YAO!
(mchanaIjumaa kwenyevyombo kuchukuangoma kuanzakumpaKuna mtafaruku umetokea kati ya Afande Sele na Producer P-Funk wa Bongo Records mida hii ya ) na Afande kupigwa na kwa mida hii amechukua RB kwa ajili ya kumfikisha Majani kwenye vya sheria. ......Ishu kwa mujibu wa Afande Sele ni hivi Afande alitoka Moro jana usiku akiwa naFerooz na kumpatia Majani mkwanja kwa ajili ya kumalizia ngoma na kuambiwa aje leo (Ijumaa) yake na alipofika kuchukua singo kwa mujibu wa Afande,Majani alimwambia yuko bize na kipondo!!!!

No comments:

Post a Comment