December 07, 2011

T.I. Azungumza Kuhusu Ujio Wa Albam Yake Mpya Itakayoitwa ‘Trouble Man’ Na Jinsi Anavyopenda Kucheza Na Makalio Ya Mkewe Mbele Ya Watoto Wake.

Rapa T.I. aliyekuwa na mwonekano wa tabasamu muda wote akiwa katika mahojiano na Jimmy Fallon siku ya jumatano katika kipindi cha “Late Night.” The King of the South akiwa hapo aliweza kuzungumia pia asili ya jina lake, kitabu kinachohusu maisha yake "Power & Beauty,
wakati huo huo akatoa taarifa za ujio wa albam yake mpya Trouble Man pamoja na  VH1 series inayohusu maisha yake ambayo tayari imeshaanza kurushwa kupitia televishen za ulaya na inapatikana pia kupitia DSTV kwa jina la “T.I. & Tiny: The Family Hustle.” 

T.I aliwapa nafasi mashabiki kuona baadhi ya clips za tamthilia hiyo na ilikuwa kwenye scene ya jinsi anavyopenda kucheza na mkewe tena akiwa mbele ya watoto wake sita, lakini pia alionya kwamba huwa anawakataza watoto wake wasicheze kama yeye anavyocheza akiwa na mama yao. 

No comments:

Post a Comment