December 06, 2011

Collo Akana Kumjua Rabbit


Hiphop STAR wa Kenya, COLLO (King wa Rap Kenya) amesema hamfaham wala hajawah kumsikia msanii RABBIT ambae amekua akizungumziwa kwenye vichwa vya habari kenya kwamba ana BEEF na COLLO.


kwa kipindi kirefu Rabbit amekua akiripotiwa kumdiss Collo kwamba hafai kujiita KING WA RAP,  ambapo hata hivyo COLLO amejibu kwa kusema KING WA RAP haimaanishi MUZIKI peke yake, ni LIFESTYLE, ni story line.

amesema “mi sijui wazee wanazusha nini eti we sio king wa rap, kuna watuu wanajiita king of kapungala, king wa DANNCEHALL ni jina tu limekua, mbona hakuichukua?!! mimi nililiona hilo jina na nikalichukua kutokana na vitu vingi nilivyopitia, kama unaona unastahili kulichukua hilo taji, NJOO LICHUKUE”

baada ya kusikilizishwa track ya Rabbit, COLLO ameonyesha picha tofauti kwa kuameamplfy kwamba Rabbit anatalent nzuri ya kufanya muziki na anaweza kumchukua na kumuweka kwenye Label yake”

kuhusu stori za kundi la KLEPTOMANIAX kuvunjika, COLLO amesema bado wao ni BROTHERS na tutazidi kuwa KLEPTO, NYASHISKI yuko marekani na Robaa yuko Malindi Kenya, so hakuna noma bado wako pamoja.

No comments:

Post a Comment