December 07, 2011

Shule Ya Mapenzi Yaanzishwa!!!

Shule ya kwanza ya kufundisha mapenzi duniani imefunguliwa huko viena austria ambapo lengo lake ni kufundisha watu jinsi mapenzi yanavyotakiwa kuwa.


Gazeti la The Huffington la nchi hiyo, limeandika kwamba mwalimu mkuu ambae ni wa kike, mswidish YILA MARIA THOMPSON amesema mtu yoyote mwenye umri wa miaka 16 na kuendelea ana weza kujiunga na shule hiyo.

Ni shule ya boarding ambayo inahusika na kufundisha mapenzi tu, na wanafunzi watakua wanalala mabwenini wanachanganywa, wanaume na wanawake kwenye bweni moja ili wafanye mafunzo kwa vitendo na Ada ni pound elfu 1400.

No comments:

Post a Comment