October 01, 2010

Prof Jay akamilisha ziara yake ya kimuziki:


Msanii wa Hip Hop Joseph Haule aka Prof Jay amemaliza ziara yake ya kimuziki aliyokua akiifanya katika miji mbalimbali Nchini USA. Prof Jay ametoa shukrani nyingi kwa mashabiki wake wa USA ambao walimpokea kwa shangwe na kujitokeza kwa wingi katika:


Msanii wa Hip Hop Joseph Haule aka Prof Jay amemaliza ziara yake ya kimuziki aliyokua akiifanya katika miji mbalimbali Nchini USA. Prof Jay ametoa shukrani nyingi kwa mashabiki wake wa USA ambao walimpokea kwa shangwe na kujitokeza kwa wingi katika show zake na kufanikisha bila kupata matatizo. Jay kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya kurudi Tanzania kwa ajili ya kunedelea na shughuli zake za kimuziki. 

Source: Dar411 

No comments:

Post a Comment