September 29, 2010

Fid Q atua jijini Dar akitokea USA leo asubuhi:

Msanii wa Hop Hop anayewakilisha mwanza kunako mziki wa Hip Hop Fareed Kubanda amewasili leo akitokea nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya masomo ya mwezi mmoja. Akiongea na Dar411 Fid Q
amesema kwamba amefurahi sana kurudi tena.

Msanii wa Hop Hop anayewakilisha mwanza kunako mziki wa Hip Hop Fareed Kubanda amewasili leo akitokea nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya masomo ya mwezi mmoja. Akiongea na Dar411 Fid Q amesema kwamba amefurahi sana kurudi tena nyumbani lakini kikubwa zaidi kilichomfurahisha ni kufuzu masomo yake na kutunukiwa cheti cha Promoting Tolerance through Arts.
Dar411 inamtakia mafanikio mema msanii Fareed Kubanda katika maisha yake ya kimuziki.

No comments:

Post a Comment