October 01, 2010

Justin Bieber Akubali Kuwa Katuni Ili Auze Zaidi:

The teen singing sensation's a.k.a Justin Biba ameamua kutafuta njia mpya ya kuweza kujitangaza kimuziki zaidi baada ya kuamua kuziweka Video za nyimbo zake mbili katika mtindo wa kikatuni ili kuteka soko zaidi. The Young Boy ameamua kuandaa the Music Video Collection ya nyimbo zake za Baby' na One Less Lonely Girl ambazo zote zinamuonesha akiwa amevalia katika mitindo tofauti ikiwemo moja inayomuonesha akiwa amevaa kama mtoto wa kitaa,moja ikimuonesha akiwa amevaa kama anakwenda kupokea tuzo na moja ikimuonesha akiwa amevalia mavazi ya kired capert

Video hizo mpya zenye urefu wa sekunde 30 zitatoka rasmi Dec mwaka huu na kumfanya dogo huyo wa miaka 16 kuingia katika orodha ya kuwa miongoni mwa wasanii waliowahi kuingiza  nyimbo zao katika mtindo huo likiwemo kundi la Spice Girls

No comments:

Post a Comment