June 08, 2011

T-PAIN....KUACHANA NA KITU CHA AUTO TUNE?!


Faheem Rasheed Najm aka Artist T-Pain hivi karibuni alifunguka kuhusu utumiaji wake wa Auto Tune na kusema kuwa ana mpango wa kuachana na kutumia Auto Tune (effect kwenye vocals) kwenye track zake zijazo

....MZIGO WA KUTENGENEZEA AUTO TUNE...!
T-Pain anatarajia kutoa studio album yake ya 4 itakayoitwa RevolveR ambayo itakua kitaani soon, chini ya Nappy Boy Entertainment na jive Records na anatarajiwa kuja na vitu vingine na vikubwa zaidi ya The T-Pain Effect' aka Auto Tune ambayo pia imetumiwa artist wengine wakali kama Snoop Dogg kwenye Sexual Eruption,Lollopop ya Lil Wayne,Stronger ya Kanye West na pia album ya Kanye west ya 808s HeartBreak

No comments:

Post a Comment