June 06, 2011

P-UNIT....COLLABO NA LILIAN WA BLU3....!

HUBERT NAKITARE AKA NONINI
The Godfather aka Nonini ndiye aliyewatoa kwenye music industry kundi la P-Unit kwa hits kali kama sio lazima,kushoto kulia,hapa kule,na ngoma kali ya Kare toka kwenye
album yao ya Wagenge Haona pia kwa sasa wanawania tuzo za MTV Africa Music Award kama Best Group,kwa sasa wamepiga collabo na Lilian wa kundi la Blu 3 kwenye single yao mpya It’s A Party ambayo itakua released muda wowote toka sasa na itakua ni single ya 2 toka kwenye album album yaol mpya ya 2
P-UNIT
P-Unit wanatarajiwa kwenda Uingereza kupiga show kwenye The ScrumDown Rugby 7’s afterparty jijini London pamoja Kidum na Gospel artist,Allan Aaron
LILIAN MBABAZI - BLU 3

No comments:

Post a Comment