June 06, 2011

BEBE COOL ....SASA AMILIKI VYOMBO VYA DISCO...!

MOSES BIDANDI SSALI AKA BEBE COOL
Inaelekea kwa sasa kama biashara ya disco na bar nchini Uganda iko juu, baada ya wasanii kadhaa kama RabaDaba na GNL Zamba kufungua Bar,
sasa Big Size aka Bebe Cool naye kuingia kwenye biashara ya muziki
Bebe Coll alitupia kwenye mtandao wa Facebook kuwa "Gagamel mobile disco liko tayari with the best DJ's kwa ajili ya party,harusi na live concerts", na pia kutupia contacts zake kama unahitaji huduma yao...!

No comments:

Post a Comment