June 08, 2011

ALBUM YA JAY Z NA KANYE...YAVUJA ONLINE...!

....JAY-Z NA KANYE WEST....
Album ya Watch The Throne ambayo collabo album ya Jay z na kanye West imevuja kwenye mtandao
Album ya Watch The throne ilitangazwa kuwa itakua official released July 2011 na baada ya kuvuja online inasemekana kuwa kuna vichwa vilivyopata shavu humo ndani kama Beyoncé na Brumo Mars wamepiga collabo iitwayo Lift Off na Producer Swizz Beats
ndio masterpiece kwenye production nzima ya album hiyo na ngoma zaidi...funguka hapo chini...
1. Lift Off (Feat. Beyoncé & Bruno Mars) 2. Murder To Excellence 3. Illest Motherf**ker Alive 4. Why I Love You So (Guilt Trip) 5. That S**t Crazy 6. Living So Italian 7. Who Gonna Stop Me 8. Whole Lifetime 9. We Are Young 10. Anthem

No comments:

Post a Comment