June 06, 2011

NASRI,WENGER KUMUONA LIVE....RIHANNA..!

SAMIR NASRI
Mchezaji wa Arsenal,Samir Nasri ni mmoja kati ya star wa Arsenal aliyeshinda ticket ya kwenda kumuona R’n’B star,Rihanna akipiga show baada ya kuchangia paudi 16,000

ARSENE WENGER - ARSENAL COACH
Nasri ameungana na manager wake Arsène Wenger na celebrities wengine pande za Emirates Stadium kwenye dinner na mnada wa Centrepoint,ambao ni mfuko wa club ya Arsenal,usiku huo zilipatikana paundi 250,000 kwa wasio na makazi na kuisaidi club hiyo kufikia lengo la kukusanya paundi 500,000 kwa mwaka huu

No comments:

Post a Comment