June 08, 2011

GENEVIEVE NNAJI....KUIGIZA MOVIE YA JAMES BOND?!

GENEVIEVE NNAJI
Kuna za Chini ya Maji aka Rumours zinazomuhusu Nollywood actress, Genevieve Nnaji kuwa amepata shavu la kuigiza kwenye movie ijayo ya James Bond

ROBERT DE NIRO
Genevieve hivi karibuni alionekana na Robert De Niro ambaye ni actor,director na producer kwenye Cannes Film Festival na kuzumngumza mabo mengi na imefunguliwa kuwa huenda akaungana na actress kama Teri Hatcher,Halle Berry na Jane Seymour,coz De Niro hupenda sana kuangalia vipaji vipya kila siku

No comments:

Post a Comment