June 08, 2011

BOBI WINE....ATOA KADI ZA KIKAO CHA HARUSI....


Bobi Wine na mke wake mtarajiwa Barbra Itungo aka Barbie Wine,wametangaza kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu,na wanatarajiwa kuanza kikao cha kwanza cha harusi alhamisi hii Alfredo bar and Restaurant pande za Bukoto na wamewaalika baadhi ya washikaji zao kwenye kikao hicho kwa kuwapa kadi za mialiko
Baadhi ya walioalikwa ni IGP wa Uganda Kale Kaihura,Mayor Erias Lukwago,na meya wa zamani Sebagala na artist wa kali na maarufu toka Uganda

No comments:

Post a Comment