June 08, 2011

FALLY IPUPA....AZINGUA KENYA....ASEPA...!

IPUPA NSIMBA AKA FALLY IPUPA
Baada ya kupiga show ya kutakata kwenye tamasha la SawaSawa Festival siku kadhaa zilizopita,Fans wa Fally Ipupa walitegemea burudani nyingine toka kwake kwenye show nyingine lakini zilizotangazwa lakini zikafutwa ghafla dakika za mwisho....!

Fally ilikua apige show nyingine pande za Carnivore Simba Saloon kwenye Rhumba night na Mamba Disco Club-Mombasa,na Fally alitupia kwenye Facebook fan page aliomba msamaha kwa fans wake kuwa hatapiga tena showz zaidi na kufunguka kuwa atapanga tarehe nyingine na kuwafanya ma-promoters wa Kenya kumlaumu kwa uamuzi wake huo

No comments:

Post a Comment