June 08, 2011

RUFFTONE....KUCHUKUA JIKO AUGUST...!


Gospel Rapper toka pande za Kenya Rufftone anatarajiwa kufunga ndoa mwezi August 2011 na longtime girlfriend aitwaye Cristal,ambaye pia ni msanii wa gospel
Rufftone na Cristal walikua na uhusiano wa muda mrefu na Msanii mwenzake wa Gospel,Daddy Owen ndiye atakua best man kwenye harusi hiyo

Kwa sasa Rufftone ameanzisha Gospel talent search yake iitwayo "Exodus2Stardom" inaruka kwenye runinga ya KBC kila Jumapili pia amezindua kampuni ya kuuza nguo zake iitwayo Ruffwear International Clothing line

No comments:

Post a Comment