September 02, 2010

Lulu Amwaga Mambo Mazito

Msanii wa maigizo Elizabeth Michael ‘Lulu' ambaye alianza tasnia hii akiwa kinda hadi kukomalia na kupevukia humo aachia moyo uongee. Lulu amebainisha wazi uhusiano wake na mwanamuziki wa muziki wakizazi kipya Ali Kiba akidai huyo ndo atakuja muoa,katika mahojiano na kipindi cha runinga jiji Lulu alidai kuwa huyo ndo wake wa ubani na huko mbeleni watafunga ndoa


Inapendeza mtu ukijiamini na kujitambua upande wapili unasemaje isije kuwa maigizo!!

No comments:

Post a Comment