September 01, 2010

Dullah Mjukuu wa Ambua au ABDALLAH Kama ambavyo mama yake anamuita..

Hajawahi kuwa Player yaani hajawahi kuwa mtu wa kubadilisha wanawake au kuwa na wanawake wawili na hii ni kutokana na kuwa anapenda kutulia na mtu mmoja na kuwa comfortable nae..
Zogo lilianza wakati BIG MAN KIM Wa chini ya Carpet aliposema kila mtu katika maisha yake kesha wahi kuwa player japo kwa mara moja which is not true akachangiwa na kupokelewa kwa Furaha zote na Samuel Misago aliesema hata Yeye keshawahi kuwa Player kisa Alitendwa katika Mapenzi which is very stupid, sio kila alietendwa katika MAPENZI AMEKUWA PLAYER THIS IS ILL-NA SIO LAZIMA KUWA PLAYER KISA UMETENDWA ..Wangapi wametendwa na they stil respect themselves..u player ni tabia tuu ya mtu ..yes :samaki mmoja akioza sio wote wameoza,unatupa unakaanga waliosafi ...

ila kwa furaha zote na ujasiri mkubwa DULLAH*PLANET BONGO STAR*Sexiest Dude in the planet akasema hapana yeye hajawahi na hiyo inatokana na malezi na makuzi..which is very true

Kweli nakiri kabisa watoto wengi waliolelewa vizuri na mama na kupata support kubwa kutoka kwa mama zao wengi wao wanaelewa thamani ya mwanamke na hawako tayari kuchezea hisia za mwanamke ..Nampa hongera zote na heshima zote Mama yake dullah kwa kulea mwanaume ambae ni Mfano tosha wa kuigwa katika Jamii..

Nakumbuka wakati naangalia Finale ya MRITHI WA SALAMA Salama alitoa sifa nyingi kwa atakaekuwa mshindi,alisema sio lazima awe na uwezo tuu wa kutangaza ila awe na heshima na iwe ni mfano bora wa kuigwa na kwa hilo Dullah ameshinda na anastahili sifa..

A REAL CELEBRITY LAZIMA UWE NA HESHIMA NA HESHIMA HUJA KUTOKANA NA MALEZI MAZURI ULIYOYAPATA EITHER KWA MZAZI WAKO AU WAZAZI WAKO..

Hongera Dullah..

kwa mengi zaidi kuhusu yeye tafadhali mpangomzima.blogspot.com

WHAT A GOOD BOY ..

The woman aliekuwa nae lazima awe Proud of him

No comments:

Post a Comment