September 03, 2010

East Africa Rise Up, Sept 04/2010

Tamasha kubwa la East Africa Rise Up ambalo limeandaliwa na wasanii kutoka wa kundi la Watengwa linatarajiwa kufanyika Tarehe 4th September Mjini Arusha. Tamasha hilo litawashilikisha wasanii mbali mbali kutoka kenya na Ufaransa, wasanii wa ngoma za asili, Hip Hop na Fashion show .


Akiconga na KING DAVID ON SET ,mwanaHiphop JCB makalla anayefanya vyema na pini lake 'Ukisikia Paaa' amesema pia katika tamasha hilo kutakuwa na maonyesho ya wasanii kuonesha bidhaa zao kama T-shirt, Cds na vitu mbali mbali ambavyo wanakuwa wanabuni.

Na katika upande wa burudani, Kundi la Watengwa kutoka arusha, Tgp kutoka arusha na MauMau ktuoka Kenya watatoa burudani ya live Band.

No comments:

Post a Comment