September 02, 2010

Britney Spears kutua Bongo


Britney Spears mwanamuziki na mama wa watoto wawili anayetamba duniani anatarajiwa kutua nchini baadaye Desemba wakati wa pambano la ngumi ambalo litawahusisha mabondia machachari kutoka Marekani.
Katika ziara hiyo, Tyson atakuwa mtangazaji wa pambano hilo na Britney akipamba pambano hilo ambalo limeandaliwa na Kampuni ya Exotic Flight Services Limited kwa lengo la kuutangaza mchezo huo ndani na nje ya nchi.


No comments:

Post a Comment