August 27, 2010

Mpango Mzima Uko Hapa.....Chagua Swagga Kutoka Gucci, Abercrombie, Emporio Armani...n.k

MWANZO HUWA HIVI, KAMA NDOTO VILE..


Hizi ni kati ya Tupia Stylez Kutoka Gucci.....

Hawa jamaa they are so creative aisee!!! Yani viatu kama vimeumbwa na mungu....

Anywayz Baada ya kumaliza kutupia midundo ya maana kama ulivyoona....Lets Go 2 The Shirts Stock Room Kutoka Fitch Bana....Loading....Now Open..





Hapa Ni Shirts & Belli kutoka Abercrombie Designs.....Make Sure Umeshapata chaguo lako hapa.....
Then Njoo Ucheck na Maboxer ya maana hapa chini kabla hujatupia casual za kijanja....

Nishatoka kwenye mashati ya madesigner wa ukweli hapo juu kinachofata ni kucheck ustaarabu wa boxers....

 


Sasa ni wakati wa Suruali za kitanashati........


Dont forget kuweka mkanda wako hapo kati...............................Kuwa Nadhifu Kijana.....
Sasa tumalize kwa kupandisha na hoodies au jackets hata makoti pia.....

Kama kutakuwa na joto kali sana unaweza kufanya kama kudondoshea swagga za kimodel hapo chini.............
Asante sanaaaaaaaaaaaaaa Bila shaka utakuwa unalook mwaaaaaaaaaa........Oops!! Wait...Put ur bracelet On Pliz.......
 
Hii Bracelet lazima iende na mkufu wake..........so fanya hivi...afu tuoneeeeeeee.......
Hapo nishakamilika kwa kila kitu........lakini huenda nitakuwa na matembezi ya beach...ngoja nichukue sandals zangu........
Hapa sasa freshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......Naweza kukatiza pande zote bila tabu...na huenda nikapata bahati ya kusaini mkataba wa kazi na G5click.....
Mh!!! Nimesahau Gucci bag yangu kuna document zangu za mikataba ya matangazo ya I - View na My Fair....Dah..Sikumbuki niliweka katika bag lipi kati ya haya.......
Mh!!!Mbona sizioni sasa!!! Isije kuwa nimechanganya na mabegi ya wifey.....hapo chini.......

Mwisho kabisa ntapita katika maduka ya mariedo pale nimchukulie Agness wangu Miwani....



No comments:

Post a Comment