August 22, 2010

Mariah Carey Performs in Brazil, Chabo Alivyoexpose Baby Bump Yake?

R&B diva Mariah Carey alivyoonekana na kibaby bumpy chake wakati akifanya show katika concertMC Anatarajia kurelease album yake ya Chritmas "ALL I WANT FOR CHRISTMAS IS YOU....Ifikapo mwezi November this year alifanya onesho kwa kuperfom Ngoma zaid ya 15 zikiwemo “Dreamlover,” “Hero,” “Make It Happen, “ “Obsessed,” “Touch My Body,” and more in from of a sold-out crowd at the Festa Do Peão de Boiadeiros (Cowboy Festival) ndani ya jiji la Barretos, São Paulo, Brazil. Maria Carey ambae pia ni Mwanamitindo na mke halali wa Serengeti Boy "Nick Cannon", alifika ukumbini kwa kuchelewa, amewaomba radhi mashabiki wake kupitia mtandao wa Twitter akisema “Nilijaribu kuwa On Time, Natumai nimekwenda na muda pia sikujua kwasababu niliufanya utawala uongope juu ya hili, lakini hii imezidi. na akaongeza kuwa  “Seriously, I really do love it here, watu wazuri nje ndani kikweli usiku huu ulikuwa mgumu kwangu kwa ishu binafsi  but U got me thru!L4L”
 moja huko Brazil jana usiku.



 
Hizo "personal reason" zinaweza kuwa ni Ujauzito wake?

What do you guys think?.

No comments:

Post a Comment