October 14, 2010

Sikia mkwara wa Mb Dogg!

 
MB Dogg amedai kuwa wasanii wengi wanaotamba kwenye muziki wa bongo kwa sasa wameiga staili zake na anayebisha ajitokeze ampe vithibiti. "Ukisikiliza nyimbo nyingi za hao wasanii utagundua kwamba bado wanapita kwenye staili zangu, kama kuna ambaye anabisha anifuate nimthibitishie."

"Staili wanazocheza nazo ni zilezile ndiyo maana mimi sioni mtu wa kunisumbua, waache waongee sana ni haki yao," alisema msanii huyo anayejiandaa kutoka na ujio mpya.

No comments:

Post a Comment