October 11, 2010

Lebo Ya Real Talk Entertainment, Yatangaza Zabuni Kwa Maprodyuza Watakaoweza Kufanya Remix Kali Ya Ngoma Inayotamba " Ya Better Know It"

Lebo Hiyo ya Real Talk Entertainment Kutoka Jiji la California Imefanikiwa kutoa Albam za wasanii tofauti kama Freeway, Shhek Louch, Na Albam mpya ya Young Buck inayokwenda kwa jina la The Rehab. Mwezi uliopita, Kampuni hiyo iliweza kuingia mkataba na Young Buck na kuzifanyia haki miliki ngoma zilizofanya vizuri kupitia chati ya Top 200.

Ikiwa inafanya Vizuri sokoni kwa utanguliza wa ngoma kali ya "Ya Better Know It," Albam hiyo ya The Rehab imeanza kufanyiwa Remix katika baadhi ya ngoma zilizomo humo.

Kama Utakuwa Na mautundu ya kufanya remix ya ngoma hii fanya kutuma details zako kupitia email ya jonhay@gmail.com na utatumiwa accapella za jisongi hilo pamoja na Bpm zake ili uoneshe maujuzi yako pale kati na wakati wa kutuma aplication zako make sure katika sehemu ya kuandika Subject usisahau kuandika “Real Talk Entertainment Contest”.

Na ukishamaliza kuifanyia mixing zako itume kwenda katika email ya jonhay@gmail.com, huko zitaanza kusikilizwa kila kazi iliyoingia na project zimeanza kupokelewa tangu October 7 2010 mpaka October 28 2010 Usiku......Rahisi Namna Hiyo

Mwezi Ujao Lebo Hiyo Itakuwa Inaidropisha Sokoni Albam Ya Pili Kutoka kwa Rapa Devi The Dude's Itakayoitwa "Gotta Be Me"

No comments:

Post a Comment