October 11, 2010

Lupe Fiasco Amaliza Tofauti zake na Kampuni ya Atlantic Records:

http://thecoolmag.com/wp-content/uploads/2010/09/lupe-fiasco.jpg 
Mashabiki wa Rapa Lupe wanatarajia kuanza kuzipata ngoma zitakazokuwa katika albam Mpya Ya Mkali Ngoma Ya Hip Hop Saved My Life Itayokaitwa Lasers ndani yawiki mbili zijazo. Lupe Fiasco na Atlantic Records Wameanza kuwa katika maelewano mazuri baina yao baada ya rapa huyo kutoka Shy Town (Chicago) Kutupia Msg Fupi akiandika Neno "Victory" Kumaanisha Mambo Yamekaa Poa Baina yake na Kampuni Hiyo Ya Kurokodi Muziki na Ikafuatiwa na picha meneja wa kwanza na wa kumi na tano kutoka ATL Records wakionesha Ishara ya Dole Gumba Juu kwa mapaparazi waliojitokeza kutaka habari za tukio hilo.

Maelewano hayo yamekuja wiki moja kabla ya mashabiki wa Rapa huyo kutaka kuifungulia mashtaka kampuni hiyo, Mashabiki hao walitaka kuiforce ATL Records Kutoa Taarifa juu ya tarehe ya kuingia sokoni kwa albamu hiyo ya nne ya Rapa Huyo ambayo imekuwa ikizuiliwa mara kadhaa.

Japokuwa kucheleweshwa kwa albam hii kukiwa bado kun utata wa lini itaaingia sokoni hali ya matumaini imeanza kujitokeza na kwamba tarehe inaweza kutangazwa muda wowte kuanzia sasa.

No comments:

Post a Comment