Akiwa Tayari ameshauza zaidi ya tiketi za 100,000 katika siku ya kwanza tu ya uzinduzi wa OMG UK Tour (Oh My God), The Multi-platnum Selling Recording Artist Usher, Amelazimika kuongeza ziara ya siku nne zaidi Huko Arena Uk Kuanzia Mwezi February 2011. Ziara Hii Mpya Itaendana Na Kuwaona Mastaa Wengine Wakiperform Katika Majiji Ya London, Manchester, Sheffield na Liverpool. Na Tiketi Za Ziara Hii Zitakuwa On Sale Jumatatu Ya Tar. 11 October Saa 3 Asubuhi. Yani Leo
Ikiwa Ni Ziara Yake Ya Kwanza Ndani Ya U.K Katika Kipindi Cha Miaka 6, Usher Atafanya Matamasha Kuanzia Mwezi Wa Kwanza Na Wa Pili Ikiwa Na Idadi Ya Jumla Ya Show 10 Ukijumuisha Show 3 Za London Katika Uwanja Wa 02 Arena
In his first UK tour in 6 years, Usher will be relocating to the UK throughout January and February 2011 for an unprecedented total of 10 shows including 3 at London?s prestigious O2 Arena.
Tarehe Za Ziada Za Usher OMG Tour:
17 February London O2
20 February Manchester MEN
23 February Sheffield Motorpoint Arena
24 February Liverpool Echo Arena
Hivi Karibuni Usher Atafanya Moja Ya Show Za OMG Marekani Kabla Ya Kucross Boda Ya Atlantic Kuwapagawisha Watoto Wa Malkia Elizabeth Huko U.K.
Kwa Info Zaidi Kuhusu Usher Raymond You Just Log On
www.usherworld.com

No comments:
Post a Comment