September 07, 2010

Ngosha alamba Ganda Kwa OBAMA

Nguli wa wa HipHop Fareed Kubanda a.k.a Swaga The Don...a.k.a Ngosha The Don......ambaye yuko nchini Marekani kwa ajili ya masomo ya mwezi mmoja na nusu amefuzu masomo yake na kutunukiwa Cheti cha Utamaduni na Sanaa.


Fid Q anasema anashukuru mungu kuwa masomo yake yalikwenda vyema na kwa mafanikio makubwa na atasimama kuiwakilisha Bongo Popote anapokwenda.

No comments:

Post a Comment