August 21, 2010

In Loving Memory Of Complex And Vivian Tilya

Ilikuwa ni jumapili 21st August mwaka 2005 majira ya saa tatu asubuhi.
Siku ambayo vipaji viwili vya bongo flavour Producer\Rapper Complex ambaye kipindi hicho alikuwa akifanya kazi na studio Aigies Records na mtangazaji wa Clouds\Rapper Vivian walifariki kwa ajali ya gari eneo la Mbwewe wakiwa safarini kutoka Morogoro kwenye Fiesta iliyopewa theme ya MOTO ZAIDI wakiwa wanaelekea Arusha kwenye Anniversary ya ndoa ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na Vivian na siku hiyo pia vivian alikua anaenda kumtabulisha Complex kama mchumba wake kwa wazazi wake.

Imetumwa Na Dj Fetty a.k.a Fe'e

No comments:

Post a Comment