August 21, 2010

AY na FA ndani ya Face Off Party Nairobi Kenya Leo

Bongo Flava's finest stars, AY and Mwana FA, Watafanya Bonge La Show Ndani Ya Naii
Katika Mashindano ya Safaricom Face-Off. Kwa mujibu wa meneja wao kwa Tanzania Mr. Buddy, Jamaa watakuwa katika List ya wasanii kutoka Tanzania ambao wamepewa mwaliko maalumu kwa ajili ya ishu hiyo. Mpango mzima utakuwa balaa zaidi pale jamaa watakapokuwa wanazindua new conglomerate yao ya  "Usije Mjini", ambayo imeshakuwa bonge la hit kwa Tz na East Africa.

No comments:

Post a Comment