October 26, 2010

Zikiwa zimebaki siku 4 Wasanii wahamasisha upigaji kura

Zikiwa zimebakia siku nne kabla ya kuanza kuchagua kiongozi umtakaye. Wasanii wa mziki wa kizazi kipya waamasisha wananchi kupiga kura kupitia mziki katika tamasha kubwa lililofanyika viwanja
vya biafra Kinondoni.

Tamasha hilo lililoshirikisha wasanii zaidi ya 30 wa muziki wa kizazi kipya lilikua la aina yake pale umati mkubwa wa watu uliposhiriki kwenye Tamasha ilo kupokea ujumbe mzuri wa kutopoteza kura yako na kuchagua kiongozi umtakaye ambaye utaona atakuletea maendeleo kwa nchi.

No comments:

Post a Comment