November 29, 2010

Happy Birthday Ali Kiba

Leo ni sikukuu ya kuzaliwa ya msanii wa bongo flava analiyevunja rekodi ya kufanya show nyingi nje ya nchi Ali Kiba. ambaye amefanikiwa pia kuingia kwenye kundi la One8 Group ambapo walifanikiwa kutoa single inayoendelea kufanya vizuri katika vituo mbali mbali vya Radio duniani.  Dar411 inamtakia mafanikio mema katika maisha na muziki kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment