November 29, 2010

Abdul Kachaa aka Dogo Janja kutoa track na Joh Makini

Abduli Kachaa aka Dogo janja, msanii mdogo kuliko wote tanzania (14) baada ya kutoka na pini inayosumbua masikio ya wasikilizaji kibao kinachokwenda kwa jina la (anajua) sasa afanya kolabo na mwamba wa kaskazini Joh Makini. stay tuned kwa kolabo hiyo ya wasanii hawa kutoka A town.Na pia ataperfom kwa mara ya kwanza kwenye After school bash itakayofanyika siku ya tarehe 11 mwezi wa pili

No comments:

Post a Comment