October 19, 2010

Shukrani toka kwa Ngosha! :

Mwana Hip Hop makini anayeiwakilisha vizuri Rock City 'Mwanza' Fareed Kubanda, Baada ya kurejea Nchini akitokea nchini Marekani alipokwenda kwa ajili ya masomo yake yaliyochukua mwezi mmoja na nusu ametoa shukrani zake kwa ubalozi wa marekani na ujumbe wake ulikwenda hiviiiii......

“I thank you for this opportunity to travel, to learn, to make
connections and to get acquainted with American culture.
I’m happy that my time in America was peaceful and meaningful”.

No comments:

Post a Comment