November 04, 2010

Diamond kutambulishwa Ubalozini

Hiyo ni mara baada ya kuwasili ndani ya Uk, siku ya jumanne mishale ya jioni Urban Pilse ndiko walikompeleka msanii huyo wahiri wa miondoko ya Kizazi Kipya Diamond a.k.a mzww wa Mbagala ubalozi wa
Tanzania ndani ya Jiji la Londoni.


Hiyo yoto ni kutokana na utambulishwa, kutoka kwa Mh Balozi, Naibu Balozi pamoja na Staff wake.

Msanii Diamond ametua kwa dhumuni la kufanya Urban Tour, dhidi ya ugonjwa wa Malaria.

Na Show ya kwanza itafanyika siku ya Jumamosi ya wiki hii, ndani ya Mji wa Milton Keynes Club Opus huku ikifuatiwa na The Club Croydon Novemba 12 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment