December 07, 2011

Sasa Hapa Tusemaje! Wanawake Wa Zimbabwe Wanabaka Wanaume!!!!

Polisi Wa Zimbabwe Wanaamini Kwamba Kuna Tabia Ya Wanawake Kubaka Wanaume Nchini Humo Na Kutumia Mbegu Zao Za Kiume Kwenye Imani Za Kishirikina Kwa Ajili Ya Utajiri.

December 06, 2011

Facebook Yazidi Kumtesa Linnah!

Stori ambayo ilimfanya aingie kwenye habari za leo kwenye FIXED 20, ni kuhusu account mpya zilizofunguliwa na watu wasiojulikana, kwa kutumia jina lake kwenye fb.

Collo Akana Kumjua Rabbit


Hiphop STAR wa Kenya, COLLO (King wa Rap Kenya) amesema hamfaham wala hajawah kumsikia msanii RABBIT ambae amekua akizungumziwa kwenye vichwa vya habari kenya kwamba ana BEEF na COLLO.

Lady Jay Dee!!! Mashaallah Au?

ZIKIWA zimekatika siku kadhaa tangu mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’  alazwe nchini Ufaransa akisumbuliwa na ugonjwa aliouita wa ‘heri’, tumbo lake limeonekana kuwa kubwa zaidi na kufanya minong’ono kwamba tayari ni mjamzito.

Rihanna, Mary J. Blige Waingia Katika Top 5 Ya Albums Chart Ndani Ya Billboard.

Rihanna na Mary J. Blige wamefanikiwa kuzitikisa chart za albam bora wiki hii. Warembo hawa wako katika wakati mzuri wa kutabasamu kwasasa baada ya albam zao kufanya vizuri katika mauzo, na kuwaweka katika orodha ya top 5.

Soda Zaidi Ya Uijuavyo!

KUNA mjadala mkali unaendelea kuhusu vinywaji baridi hususan soda, baada ya utafiti wa hivi karibuni kuonesha kuwa soda inaweza kuwa na madhara zaidi kiafya kuliko hata sigara! 

Peter Msechu Awafungukia Mapromoter Wa Tanzania

MSHINDI wa Project Fame 2011,  Peter Msechu ameibuka na kusema: “Mapromota wa Bongo wamenisahau kabisa, pamoja na ukali wangu, lakini hawanialiki kupiga shoo. Nimejiuliza sana sababu, lakini sijapata jibu.” Msechu alisema hayo juzikati jijini Dar es Salaam, ambapo alisisitiza: “Wakati Bongo wakinibania, naitwa sana nje ya nchi. 

Wema Asema Hataki Kwenda Tena South Afrika

DIVA katika Tasnia ya Filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu amesema hali aliyoiona nchini Afrika Kusini inatisha na hana hamu ya kurudi tena nchini humo.

Hili Choko Choko

BADO chokochoko kati ya masistaduu wawili ‘wanaotikisa mkia’ katika Tasnia ya Filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ zinaendelea huku kisa kikidaiwa kuwa ni mapenzi, Fixed 20 inakuja na full data.

Maskini VENGU Jamani!!!

WINGU zito limetanda kwa mastaa nchini wakionesha majonzi makubwa juu ya afya ya staa mwenye uzani wa juu Bongo, Joseph Shamba a.k.a Vengu ambaye hali ya afya yake ni tete. 

December 04, 2011

CPU: movie ya kibongo inayoshine CINEMA!!

Movie ilyotengenezwa kwa Gharama bajeti kubwa bongo, ikiaminika kwamba ndio movie ya kibongo kuandaliwa kwa muda mrefu kuliko movie nyingine yoyote imeonyesha mafanikio toka ianzwe kuonyeshwa kwenye ukumbi wa CINEMA Dar es salaam.

November 30, 2011

Chadema Watoa Tamko Kuhusu Rais Kusaini Muswada Wa Katiba

Siku moja baada ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 kutiwa saini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na msimamo mpya kikisema hakitashiriki hatua yoyote ya kuandika katiba iwapo Rais Jakaya Kikwete,

Lady Jay Dee Kunani Tumboni Huko?

ZIKIWA zimekatika siku kadhaa tangu mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’  alazwe nchini Ufaransa akisumbuliwa na ugonjwa aliouita wa ‘heri’, tumbo lake limeonekana kuwa kubwa zaidi na kufanya minong’ono kwamba tayari ni mjamzito.

Linnah Amtosa Mwana FA Kwenye Show Ya St8rt Muzik

MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Estalina Sanga ‘Linah’ (pichani) juzikati ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar ‘alimtosa’ msanii mwenzake, Khamis Mwinyijuma ‘MwanaFA’ baada ya kugoma kupanda jukwaani kuimba naye wimbo wa Yalaiti aliomshirikisha.

November 28, 2011

PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MIAKA MINNE YA UPLANDS FM


TOP IN DAR (TID) Akiwapagawisha Mashabiki Ndani Uwanja Wa Saba Saba Wakati Wa Shere Hizo



 TID

 TID & Willie


Romeo Romy Jones, TID & Willie

King David (Kushoto) Na BIG Joe Wakiwa Kwenye Mashine 

Mnyama Romeo & King David Showin Off.

 King David Akikuna Vidole

 Leo CD Mpaka Zichubuke

 King Akiandaa CD Za Show Kamili


Huu Mchezo Huu LAZIMA Uwe Na kidevu Kama Gunzi