Msanii toka Uganda anayeishi Uingereza,Tazz Mujagata ni mmoja kati ya wasanii wanaokuja juu sana,coz amepata offer toka kwa Sir Elton John baada ya kuvutiwa na live perfomance zake pamoja na mashairi yake mazuri
Album ya Watch The Throne ambayo collabo album ya Jay z na kanye West imevuja kwenye mtandao
Album ya Watch The throne ilitangazwa kuwa itakua official released July 2011 na baada ya kuvuja online inasemekana kuwa kuna vichwa vilivyopata shavu humo ndani kama Beyoncé na Brumo Mars wamepiga collabo iitwayo Lift Off na Producer Swizz Beats
Baada ya kupiga show ya kutakata kwenye tamasha la SawaSawa Festival siku kadhaa zilizopita,Fans wa Fally Ipupa walitegemea burudani nyingine toka kwake kwenye show nyingine lakini zilizotangazwa lakini zikafutwa ghafla dakika za mwisho....!
Gospel Rapper toka pande za Kenya Rufftone anatarajiwa kufunga ndoa mwezi August 2011 na longtime girlfriend aitwaye Cristal,ambaye pia ni msanii wa gospel
Rufftone na Cristal walikua na uhusiano wa muda mrefu na Msanii mwenzake wa Gospel,Daddy Owen ndiye atakua best man kwenye harusi hiyo
Mkutano wa Nne wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza jana mjini Dodoma ikiwa ni Bunge la Bajeti wa mwaka 2011/12,kwa kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu na shughuli nyingine za bunge na Bajeti
Faheem Rasheed Najm aka Artist T-Pain hivi karibuni alifunguka kuhusu utumiaji wake wa Auto Tune na kusema kuwa ana mpango wa kuachana na kutumia Auto Tune (effect kwenye vocals) kwenye track zake zijazo
Bobi Wine na mke wake mtarajiwa Barbra Itungo aka Barbie Wine,wametangaza kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu,na wanatarajiwa kuanza kikao cha kwanza cha harusi alhamisi hii Alfredo bar and Restaurant pande
The Godfather aka Nonini ndiye aliyewatoa kwenye music industry kundi la P-Unit kwa hits kali kama sio lazima,kushoto kulia,hapa kule,na ngoma kali ya Kare toka kwenye
Mchezaji wa Arsenal,Samir Nasri ni mmoja kati ya star wa Arsenal aliyeshinda ticket ya kwenda kumuona R’n’B star,Rihanna akipiga show baada ya kuchangia paudi 16,000