Rihanna na Mary J. Blige wamefanikiwa kuzitikisa chart za albam bora wiki hii. Warembo hawa wako katika wakati mzuri wa kutabasamu kwasasa baada ya albam zao kufanya vizuri katika mauzo, na kuwaweka katika orodha ya top 5.
December 06, 2011
Soda Zaidi Ya Uijuavyo!
KUNA mjadala mkali unaendelea kuhusu vinywaji baridi hususan soda, baada ya utafiti wa hivi karibuni kuonesha kuwa soda inaweza kuwa na madhara zaidi kiafya kuliko hata sigara!
Peter Msechu Awafungukia Mapromoter Wa Tanzania
MSHINDI wa Project Fame 2011, Peter Msechu ameibuka na kusema: “Mapromota wa Bongo wamenisahau kabisa, pamoja na ukali wangu, lakini hawanialiki kupiga shoo. Nimejiuliza sana sababu, lakini sijapata jibu.” Msechu alisema hayo juzikati jijini Dar es Salaam, ambapo alisisitiza: “Wakati Bongo wakinibania, naitwa sana nje ya nchi.
Wema Asema Hataki Kwenda Tena South Afrika
DIVA katika Tasnia ya Filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu amesema hali aliyoiona nchini Afrika Kusini inatisha na hana hamu ya kurudi tena nchini humo.
Hili Choko Choko
BADO chokochoko kati ya masistaduu wawili ‘wanaotikisa mkia’ katika Tasnia ya Filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ zinaendelea huku kisa kikidaiwa kuwa ni mapenzi, Fixed 20 inakuja na full data.
Maskini VENGU Jamani!!!
WINGU zito limetanda kwa mastaa nchini wakionesha majonzi makubwa juu ya afya ya staa mwenye uzani wa juu Bongo, Joseph Shamba a.k.a Vengu ambaye hali ya afya yake ni tete.
December 04, 2011
CPU: movie ya kibongo inayoshine CINEMA!!
Movie ilyotengenezwa kwa Gharama bajeti kubwa bongo, ikiaminika kwamba ndio movie ya kibongo kuandaliwa kwa muda mrefu kuliko movie nyingine yoyote imeonyesha mafanikio toka ianzwe kuonyeshwa kwenye ukumbi wa CINEMA Dar es salaam.
November 30, 2011
Chadema Watoa Tamko Kuhusu Rais Kusaini Muswada Wa Katiba
Siku moja baada ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 kutiwa saini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na msimamo mpya kikisema hakitashiriki hatua yoyote ya kuandika katiba iwapo Rais Jakaya Kikwete,
Lady Jay Dee Kunani Tumboni Huko?
ZIKIWA zimekatika siku kadhaa tangu mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ alazwe nchini Ufaransa akisumbuliwa na ugonjwa aliouita wa ‘heri’, tumbo lake limeonekana kuwa kubwa zaidi na kufanya minong’ono kwamba tayari ni mjamzito.
Linnah Amtosa Mwana FA Kwenye Show Ya St8rt Muzik
MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Estalina Sanga ‘Linah’ (pichani) juzikati ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar ‘alimtosa’ msanii mwenzake, Khamis Mwinyijuma ‘MwanaFA’ baada ya kugoma kupanda jukwaani kuimba naye wimbo wa Yalaiti aliomshirikisha.
November 28, 2011
PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MIAKA MINNE YA UPLANDS FM
TOP IN DAR (TID) Akiwapagawisha Mashabiki Ndani Uwanja Wa Saba Saba Wakati Wa Shere Hizo
TID
TID & Willie
Romeo Romy Jones, TID & Willie
King David (Kushoto) Na BIG Joe Wakiwa Kwenye Mashine
Mnyama Romeo & King David Showin Off.
King David Akikuna Vidole
Leo CD Mpaka Zichubuke
King Akiandaa CD Za Show Kamili
Huu Mchezo Huu LAZIMA Uwe Na kidevu Kama Gunzi
PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA SHOW YA VINEGA
SUGU Akikamua Kwa Uwezo.
Mashabiki Wa Vinega
Mh. Mbowe Akiwa Sambamba Na Vinega
Sister P Akiwarusha Vinega
Zay B Naye Alikuepo Katika Kuwaweka Gado Vinega
Daz BABA Akiwapa Tano Vinega
Dj Snox Kutoka Mabaga Fresh Akiwataabisha.
Hardmad Akiwapa Dance Kali Vinega.
Mr. Simple Akiwapa Compaign Vinega
Mzungu Akiwa Tayari Kuscan Virus Na Vinega.
Hii ni fundisho dogo sana kwa wanyonyaji wa muziki hapa Bongo. Sasa Mbeya City Kaeni Tayari Kwa Movement.
November 27, 2011
SUGU Na VINEGA Waitetemesha Dar
Mamia ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, Mbunge wa Ilemela Hynes Kiwia na Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika (CHADEMA) juzi walifurika katika viwanja vya Ustawi wa jamii
CHADEMA Wakutana Na Rais Ikulu!!
Rais Jakaya Kikwete, jana alikutana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kufanya nao mazungumzo ikiwa ni kutekeleza ahadi yake ya kukutana nao baada ya chama hicho kuomba kuonana naye..
Hii Ni Sehemu Ndogo Tu Ya Umati Wa Mashabiki Waliofurika Kushuhudia SHOW Ya VINEGA PALE USTAWI
Kama unavyoona hapo juu mambo yalikua mambo usipime.
Na Hiyo Juu Ni STAGE UNDERCONTRUCTION
Hapa Ndo Mpango Ulikua Umekamilika Kabisa
Subscribe to:
Posts (Atom)
























